Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo,
Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku huu
akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa
pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae
pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi