MH JERRY SLAA AFANYA MAMBO MAKUBWA KWA MSICHANA HUYU ALIYEONGOZA CHUO KIKUU UDSM

IMG_2968Unamfahamu Doreen Kabuche?
Huyu ndiye mwanafunzi aliyekuwa mwanafunzi bora wa kike kwa mwaka 2011 alipomaliza kidato cha sita Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa Dar es Salaam, lakini mwaka 2014 ameendeleza rekodi yake ya kufanya vizuri katika masomo ambapo amekuwa mwanafunzi bora kwa mara nyingine kwa kufaulu kwa GPA ya 4.8 kwenye shahada ya Takwimu Bima.
Alichokiandika Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa siku ya leo ni hiki; “..Tulimwita na nikamzawadia laptop ya 1,500,000. Mwaka huu amekuwa best student UDSM kwa kupata GPA ya 4.8 kwenye Shahada adimu ya Takwimu Bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam watakaoangalia mifuko yetu ya Pension, Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam…
IMG_2995 (1)
IMG_2971
Jerry Silaa akiwa na Doreen Kabuche ofisini kwake Dar.
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akiwa na Doreen Kabuche ofisini kwake Dar.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo