skip to main |
skip to sidebar
HAYA NI MAJINA YA WALIOTEULIWA NA PAC KUANDIKA MAAZIMIO YA KUWAWAJIBISHA WATUHUMIWA WA ESCROW
Baada
ya Spika wa Bunge kuahirisha Bunge mara mbili siku ya leo Novemba 29
ili kuipa nafasi kamati ya PAC iweze kufanya marekebisho ya maneno
yaliyoandikwa kwenye maazimio yaliyowasilishwa na Kamati ya PAC,
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Zitto Kabwe ametaja majina ya walioteuliwa na Kamati hiyo kuandika maazimio ya kuwajibisha watuhumiwa wa Tegeta Escrow.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook (@Zitto Kabwe) ameandika majina ya wajumbe hao.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi