WAZIRI MKUU PINDA KUGOMBEA URAIS 2015, ANGALIA AKIHOJIWA NA SALIM KIKEKE BBC NA ALICHOJIBU

Waziri mkuu Mizengo Pinda, ametangaza nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao 


Pinda amesema hayo mjini London ambako mkutano wa viongozi unaoangazia uwekezaji zaidi katika bara la Afrika unaendelea.

Viongozi hao wanatumaini kuyashawishi mashirika makubwa zaidi ya uwekezaji, katika mkutano huo wa siku mbili, kwamba yanafaa kuwekeza zaidi katika mataifa ya Afrika, hasa Nigeria, Uganda, Tanzania, Rwanda, Ghana na Togo.

Tazama video hii akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo