PICHA ZA MAZISHI YA MSANII WA TMK WANAUME FAMILY YP MAKABURI YA CHANG'OMBE

Maombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kwenda makaburini.
Sehemu ya mamia ya waombolezaji wakiwa makaburini.
Waombolezaji wakiwa wamebeba bango lenye picha ya marehemu.
Jeneza likishushwa kaburini.
MSANII WA TMK WANAUME FAMILY, Yesaya Ambikile 'YP' aliyefariki usiku wa kuamkia janai, amezikwa leo katika makaburi ya Chang’ombe maduka mawili jijini Dar jioni hii.

PICHA NA GPL


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo