BREAKING NEWSSSS: DIAMOND AKAMATWA NA JESHI LA POLISI, ANGALIA PICHA ZA TUKIO HILO

Baada ya meneja  wake  kukamatwa  jana  jioni  na wacheza shoo wake kukamatwa  leo  asubuhi, hatimaye Diamond naye amejisalimisha  Kituo cha Polisi cha Oyster Bay...

Baada  ya  msanii  huyo  kujisalimisha, alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha akaachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ  kituoni hapo.


Picha za tukio hilo hizi hapa chini
 IMG_7048 diamond akiwa na Chief Kiumbe wakitoka kituo cha polisi Osterbey baada ya kuhojiwa na kuachiwa kwa dhamana
IMG_7049IMG_7051IMG_7052
IMG_7053IMG_7054picha zote kwa mujibu wa tovuti ya bongo5


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo