PICHA ZA GARI JIPYA LA KIFAHARI LINALODAIWA KUWA LA DIAMOND PLATNUMZ

Gari aina ya Mercedes 350 Cdi inyosemekana inamilikiwa na msanii Diamond.

Hiyo ni Mercedes Ml 350 Cdi ya mwaka 2014 Radio Mbao moja ya mjini imevumisha kwamba ni kitu kipya cha Diamond Platnumz bado hata namba hakijabatizwa nazo na ni kipya kabisa kama Waswahili wasemavyo zero kilomita.

Hivi wote mwajua hakuna siri dunia hii, na kama halipo lajongea, ukweli utajulikana tu…
Gari ya kifahari.
Gari ya kifahari.
Kwa sasa Diamond anatamba na kibao cha 'Mdogo mdogo'.
Kwa sasa Diamond anatamba na kibao cha ‘Mdogo mdogo’. Picha na Taarifa News.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo