Moto wateketeza soko la wilaya ya Urambo huko mkoani Tabora usiku wa kuamkia leo hii Jumatatu ya tarehe 13/10/2014.
Inasemekana kuwa chanzo cha moto huo ni mabaki ya moto katika moja ya
banda la mama ntilie ambaye hufanya biashara zake katika soko hilo.
Asilimia kubwa ya mabanda madogo madogo ya ndani yameteketea na vitu vichache walifanikiwa kuviokoa.
PICHA NA ALOYSON