MSANII YP AAGWA TCC CHANG'OMBE, WENGI WAZIMIA BAADA YA KUMUONA KWENYE JENEZA, TAZAMA PICHA HIZI

Ndugu wa marehemu akilia kwa uchungu baada kuagaFella na Babu Tale kwa nyumaJuma Nature akiwa na ndugu wa marehemu 2IMG_6560IMG_6570IMG_6571IMG_6591IMG_6594IMG_6620Maelfu ya watu wamejitokeza Chang'ombe TCC kuuaga mwili wa msanii YP wa TMK wanaume Family aliyefariki dunia jana katika hospitali ya Temeke jijini Dar huku wengine wakizimia

YP alifariki baada ya kuugua na alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo na ameagwa kabla ya kwenda kuzikwa katika makaburi ya Chang'ombe hii leo

Mungu alilaze roho yake mahali pema peponi, Amen.

Picha zote na Bongo5


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo