WACHEZA SHOW WA DIAMOND WAKAMATWA NA POLISI, DIAMOND NAYE ANASAKWA KISA MAGWANDA YA JESHI

Diamond alipanda na gwanda za jeshiMadansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo na wapo Kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.

Wakati huohuo polisi  wanaendelea kumtafuta bosi wao, Nasibu Abudul ' Diamond Platinumz' kwa mahojiano naye kwa kuvaa sare za Jeshi hilo katika Tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika Leaders Club, Dar usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita.

Tutawajuza zaidi kinachoendelea

(HABARI NA MUSA MATEJA/GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo