MAKUBWA....WANAFUNZI WAWILI WA DARASA LA PILI WAADHIBIWA NA WALIMU WAO KUTOKANA NA KUFANYA MAPENZI KATIKA UMRI MDOGO

Wanafunzi wawili wa darasa la pili wenye miaka saba na mwingine nane wa Shule ya Msingi Kikunku  Kigoma wameadhibiwa na walimu wao kutokana na tabia yao ya kufanya mapenzi katika umri mdogo na kusababisha walimu watatu kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumjeruhi mtoto wa kiume.

Akizungumzia tukio hilo mwalimu mmoja wa shule hiyo Nicholous Ulimwengu alisema  wazazi wa watoto hao walilamika wanafunzi hao kila siku kuchelewa kurudi nyumbani na kuamua kufuatilia  shuleni  hali iliyowafanya walimu kuchunguza na kugundua huwa mara baada ya masomo kuenda sehemu ya kujificha na kufanya tendo hilo.

Alisema baada ya kugundua tabia za wanafunzi hao walimu waliamua kuwaadhibu kwa kuwachapa viboko vinne kila mmoja ambapo mzazi wa mtoto wa kiume aliamua kwenda kushtaki polisi baada ya  mwanae kulalamika kupata majeraha ndipo polisi wakaamua kuwashikilia walimua hao  kutokana na adhabu hiyo wakati uchunguzi ukiendelea.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo