KOMANDOO WA JWTZ ALIYEUA MTU AKIMTUHUMU KUMSHIKA MKEWE AFIKISHWA MAHAKAMANI, ANGALIA PICHA HIZI


Polisi wakiondoka mahakama ya wilaya Temeke leo na Mwanajeshi huyo.
******

Mwanajeshi wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita  akimtuhumu  kumsumbua  mkewe  wakati  wakiwa  baa, Octavian Maurus Gowele amefikishwa mahakama ya wilaya Temeke leo akishtakiwa kwa mauaji.
 
 Mwanajeshi  huyo  amekana shitaka hilo na  kesi yake imeahirishwa mpaka Novemba 4, 2014.
Komando wa JWTZ anayetuhumiwa kuua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, Octavian Maurus.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo