BABA ACHOMA MOTO NYUMBA NA KUFA YEYE NA MKEWE BAADA YA KUGOMBANA

Mume na mke  wamejilipua namafuta ya Petrol Mkoani Mtwara baada ya kutokea kwa ugomvi baina yao wakati wa usiku.
Kamanda wa Polisi alisema vifo hivyo vilitokana na ugomvi wa kifamilia ambapo Mume huyo aliyetambulika kwa jina la Selsius Kamguna alimpiga mkewe hadi kupoteza fahamu.
Alisema baada ya kuona mke wake amepoteza fahamu aliamua kuteketeza nyumba yao kwa moto akitumia mafuta ya petroli wakiwa ndani kitendo kilichosababisha wote wawili kupoteza maisha,


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo