Polisi wakiwasili eneo la tukio ofisi za Faraja Trust Fund
zinazomilikiwa na Mh Lucy Nkya ambapo tukio hilo lilitokea leo asubuhi.
Jonas Nkya Mtoto wa kwanza wa Mh Dr Lucy Nkya
Jonas akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na tukuo hilo. Muda mfupi uliopita
Mhe Dr Lucy Nkya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki
Mhe Dr Lucy Nkya akizungumza na Waandishi wa habari muda mfupi uliopita ofisini kwake Faraja muda mfupi uliopita. picha na shekidele blog