ALIYEUNGULIWA NYUMBA YOTE KIGAMBONI AJITOKEZA KUOMBA MSAADA KUTOKA KWAKO

Familia ya ndugu Aron Sondi inayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ambao taarifa zikiambatana na picha za kuungua kwa nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao (zimepachikwa hapo chini), wanaomba michango ya hali na mali. 

Atakayeweza kusaidia kwa vyovyote tafadhali awasilishe michango kupitia namba ya Aron 0763210530 au kupitia mke wake, Sara Obel: 0713560844.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo