ALICHOFANYIWA KIBAKA HUYU MJINI MOSHI HAWEZI KUKISAHAU MAISHANI, ANGALIA MWENYEWE

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgds1eiZwGEaJP6ChFp12kOBfvzGcPpxjz0tb7dRd3M6PyInm5LetKaTMp8zmJSFexNCtkoo97RX7Ox8EHpg-A4ySooY3Tz76h3nBry8wfToX6p4zQ3cprJdoo4jQhTVRNUoO3d02V6aFWP/s1600/IMG-20141024-WA0011.jpgKijana mmoja mkazi wa Pasua mjini Moshi ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa wanachi wenye hasira kali,baada ya kuiba simu katika duka moja la mchele na kumpa mwenzake aliyefanikiwa kukimbia nayo. 

Tukio hilo limetokea jioni hii katika duka la mchele la Lucki rice mart lilipo double road katikati ya mji wa Mokijana mmoja mkazi wa Pasua ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupokea kipigo kutoka kwa wanachi baada ya kuiba simu katika duka la mchele na kumpa mwenzake aliyefanikiwa kukimbia nayo.

Tukio hilo limetokea jioni hii katika duka la mchele la Lucki rice mart lilipo double road katikati ya mji wa Moshi.

Kijana huyo ambaye anatajwa kufanya matukio  ya wizi katika maduka mbalimbali ya jirani na duka hilo ambapo walifika wawili nakufabikiwa kuiba simu ambayo mmoja wapo alifanikiwa kukimbia nayo kuelekea eneo la Njoroshi. 

 Kijana huyo ambaye anatajwa kufanya matukio ya wizi katika maduka mbalimbali ya jirani na duka hilo ambapo walifika wawili nakufanikiwa kuiba simu ambayo mmoja wapo alifanikiwa kukimbia nayo kuelekea eneo la Njoro.

Baada ya kupokea kichapocho alimriwa kufuta sehemu zote zilizochafuka kwa damu iliyokuwa ikimtoka wakati wa kichapo hicho kama anavyoonekana pichani hapo juu. 

Bahati yake nzuri, askari waliweza kufika mapema eneo la Tukio na kumuokoa kwa kumchukua na kumpeleka kituoni.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRbbnGI9Xs7VViRMBrW8zcI6m1d40t2xhRtehneUoxYbAf0Et2fRhLrKf1Dl4irkPh-WjV9ey_emrheyVrahsqDjVPUXMJo-YrlwWgIyPJi1NrqRmRMw-tlFVarhgdoGlfPLwD-0sRbfXc/s1600/IMG-20141024-WA0012.jpg


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo