TCU YATOA TAARIFA, WANAFUNZI ELFU 12 WAKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU 2014




Kwa ufupi  tu  ni kwamba Tume ya vyuo vikuu TCU  imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo. 
 
TCU  wametoa  maelekezo  mengi  na  wanasema  nafasi  bado  zipo  tena  ni  nyingi  tu  kuliko  hata  idadi  ya  wanafunzi....
Bonyeza  PLAY  Hapo  chini  usikilize  walichosema.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo