Picha za Ajali nyingine mbaya ya basi iliyoua watu maeneo ya Gairo



Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam JANA kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya Kiegeya Gairo.

Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na wengine wamejeruhiwa vibaya sana.
 
“Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..viongozi mbali mbali wa serikali tunao hapa..kwakweli ni majonzi vilio nk,” amesema shuhudu mmoja.  Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mara moja

Ajali hiyo imetokea siku chache tu baada ya ajali nyingine ya mabasi mawili iliyotokea Musoma na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 39.






JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo