Msanii Wa Bongo Movie Aumbuka baada ya picha zake za Utupu kuvuja mitandaoni.....Amtupia Lawama Nay wa Mitego



Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimahaba na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni.

Kutokana na picha hizo ambazo zimeonekana kuzagaa katika mitandao mbalimbali na kuacha viulizo kwa wasanii wengi wanaomfahamu, mwandishi wetu alimtafuta Bozi ambaye alionekana kutafunatafuna maneno na kumtupia lawama nzito Nay wa Mitego ambaye aliwahi kumtumia picha hizo walipokuwa wapenzi.

“Mungu wangu sijui nitaweka wapi sura yangu, nilishtuka sana baada ya kuona picha hizo ni aibu kubwa kwangu, nashindwa hata kuelewa zimesambaa vipi maana hizi picha alikuwa nazo Nay, nilimtumia kabla hatujaachana sasa hata yeye namuuliza anasema eti hajazisambaza,” alisema msanii huyo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo