NEWZ ALERT: AJALI NYINGINE SINGIDA,YADAIWA MTU MMOJA AMEPOTEZA UHAI.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjP22bqUpq9CKeMN51nXCJwSTdhHoFOpLLZtTlPfjto8x8y7qT5A_rp_5UiRhIu-G_Pxp6c02Gx6kJb0McHdDpzsAfiZ8z6P6HVjJd0lwYXk9EBo4XkGhTRWDA3OxtaUCp7A92pFOjblQYG/s1600/IMG-20140911-WA0037.jpgLori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma leo. Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo