Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake.
Akiongea na mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na
anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande
wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume
aliyemuoa analijua hilo na anampenda jinsi alivyo.

