ANACONDA YA NIKI MINAJ YAZUA BALAA, AKATALIWA KUONGEA NA WANAFUNZI KWENYE SHULE ALIYOSOMA



Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma.
 
Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo kulikataa ombi lake la kuongea na wanafunzi hao kwa nia ya kuwa-inspire wafanikiwe kama yeye.
 
Huenda mkuu huyo wa chuo ameona Nicki Minaj sio mtu sahihi wa kuwa-inspire wanafunzi wake kwa kuzingatia video tata ya ‘Anaconda’ aliyoitoa hivi karibuni.
 
Hizi ni baadhi ya tweets za Nicki akionesha masikitiko yake baada ya kunyimwa nafasi hiyo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo