Tiko: Waume za watu Watamu lakini wanachosha maana hakuna uhuru.....Kwa sasa nahitaji Aliye Singo




Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya kuwa kimapenzi na waume za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna uhuru tofauti na ule wa aliye singo.

Akipiga stori na mwandishi wetu, Tiko alisema ameamua kuachana na uhusiano wa kimapenzi na waume za watu kwani alikuwa na mume wa mtu lakini hakuona faida yoyote zaidi ya kukosa uhuru kutokana na kuhofia kubambwa na mwenye mali.
 
“Nimeamua kuachana kabisa na waume za watu kwani hakuna raha yoyote, yaani nilikuwa nakosa uhuru kabisa wa kujiachia na mpenzi wangu huyo.

 Alikuwa  anajua  vitu ( mtamu)  lakini  ndo  hivyo  tena, sikuwa  na  uhuru  juu  yake, hivyo kwa sasa nimestaafu, sitaki tena kuwa na mume wa mtu,” alisema Tiko.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo