Mara nyingi stori za marafiki wakike zinapotoka huwa ni zile ambazo
wametofautiana kwa sababu ambazo kama ukipata nafasi ya kuzifahamu huwa
hazipishani sana,utasikia huyu kanitolea siri yangu au huyu kaniharibia
kwa boy friend wangu.
August 27 Idara ya Hekaheka ina stori nyingine kutoka
Mwananyamala Dar es salaam ni kuhusu marafiki wa kike ‘Mashoga’ ambao
wamegombana kiasi cha kupelekeana mdundiko wakati wa kumfata huyo rafiki
yake.
Gea Habib yupo hapa kwa ajili ya kukufahamisha kila kinachotokea kwenye idara hii ya Hekaheka,ungana nae hapa.
Bonyeza play kusikiliza.