SAMAHANI KWA PICHA!!
Habari zilizonifikia ni kwamba huko mkoani Arusha #mfanyakaziwakazizanyumbani amechomwa moto na bosi wake kwa kosa la kukojoa kitandani......
Habari zilizonifikia ni kwamba huko mkoani Arusha #mfanyakaziwakazizanyumbani amechomwa moto na bosi wake kwa kosa la kukojoa kitandani......
Huu unyanyasani ni kwa nini unaota mapembe siku hadi siku?????
kuna siri gani ipo ndani yake???????
Watawala wa nchi hii wapo kimya na wanaosimamia sheria pia wapo kimya.....tukimbilie wapi?????
Huu ndo ujumbe nilopokea toka kwa mdau....
jamani anaomba sana mfatilie mliopo Arusha ili tutokomeze #unyanyasaji kwa wafanyakazi wetu wa majumbani.....