Mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka
Mitatu aliyekuwa mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ikerege baada ya
kukutwa na hatia katika makosa yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa ni pamoja
na matumizi mabaya ya Ofisi.
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBS BWANA CHARLES IKEREGE AHUKUMIWA KWENDA JELA
By
Edmo Online
at
Thursday, August 28, 2014