Hali ilikuwa tete,ngumi zikanukia,kulia ni mmoja wa viongozi wa chadema akikabiliana na wanachama wa chadema waliotaka kuleta vurugu uwanjani hapo.
Madiwani wasaliti kama wanavyoitwa hivi sasa hapa Shinyanga,wakiwa na nguo za CCM wakiwa wamekaa na viongozi wa CHADEMA baada ya kuwasili eneo la mkutano jioni ya leo.
Mkutano huo ni wa aina yake umehudhuriwa na maelfu ya wananchi wa mkoa wa Shinyanga,kila mtu akiwa na lake moyoni.
Diwani Sebastian Peter kulia akinong'ona jambo na mbunge Kasulumbayi.Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |