RAY C AJIBU MATUSI YA TID, AONESHA USTAARABU WA HALI YA JUU




Ray C ambaye hivi sasa ameanzisha Ray C Foundation iliyojikita katika kusaidia watu walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya amemjibu msanii mwenzake TID kufuatia matusi aliyomporomoshea kupitia Instagram siku  kadhaa zilizopita.
 
Ray C amepost instagram ujumbe unaowajuza mashabiki wake kuhusu hali ya mama yake aliyekuwa mgonjwa na kisha akayajibu ya TID.
 
“Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema............(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa...........” Ray C ameandika leo Instagram.
 
Mtafaruku kati ya wasanii hao ulianza baada ya Ray C kucomment kwenye post ya TID ya Instagram akimtaka wazungumze.
 
 “Come lets talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.”
 
Baada ya comment hiyo, TID aliandika maelezo ambayo yalikuwa na matusi kwa Ray C.
 
“Bi*ch leave me alone am not ur type also I dont need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus f*ck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop.”


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo