Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa
maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi
kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais
Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya ambapo mshindi atakabidhiwa kombe hilo na zawadi nyinginezo kibao
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi Mkoani Tanga
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wananchi
waliohudhuria mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi mkoani Tanga. Picha
na Freddy Maro wa Ikulu