Habari
kutoka Kahama mkoani Shinyanga zinasema kuwa binti aliyefahamika kwa
jina la Lucia Bahati (25)amefariki dunia,inasemekana alikuwa akichimba
kokoto ambazo ni masalia ya kokoto zilizokuwa zikitengenezwa kwa ajili
ya ujenzi wa Barabara za lami wilayani Kahama.
Taarifa kamili ya tukio hilo itawajia hivi punde.....