TAZAMA PICHA ZA HALI YA MGOMO WA DALADALA ILIVYOKUWA LEO JIJINI MBEYA

Mwandishi wa Habari Wa Mbeya Fm Radio Bw Stanslaus Lambat akifanya mahojiano na mmoja wa Madereva wa Daladala


Huu Ndio usafiri Mkubwa leo  jiji Mbeya

Polisi wa Usalama Barabarani Bw Magacha akijaribu kutoa ufafanuzi juu ya usafiri

Abiria wakiwa katika harakati za kupanda


Baadhi ya Madereva na makonda wa Daladala wakiwa wanasubiri hatima ya mgomo mzima

Huu ndio usafiri leo katika jiji la Mbeya baada ya mgomo wa daladala kutaka kupandisha Nauli toka 400 hadi mia 500.PICHA NA MBEYA YETU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo