MWENGE WA UHURU WAANZA MBIO ZAKE MKOANI NJOMBE

MKUU WA MKOA WA NJOMBE AKIKABIDHIWA MWENGE NA MKUU WA MKOA WA IRINGA DK CHRISTINE ISHENGOMA
MKUU WA MKOA WA IRINGA WA KWANZA KUSHOTO, KATIBU TAWALA WA PILI KUSHOTO NA WAKUU WA WILAYA WAKISAKATA LUMBA KABLA YA KUKABIDHI MWENGE
VIONGOZI MBALI MBALI WA CHAMA NA SERIKALI WAKIENDELEA KUSAKATA LUMBA WILAYANI MUFINDI
MBUNGE WA MUFINDI KUSINI, MENRAD KIGOLA MWENYE SUTI NYEUSI HAKUWA NYUMA
 KAZI IMEPAMBA MOTO..MWENGE HUO....

MKUU WA WILAYA YA MUFINDI AKITAZAMA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE ALIVYOKUWA AKIPOKEA TAARIFA YA KLABU YA WAPINGA RUSHWA KINYANAMBO SEKONDARI
JIMSONI MHAGAMA, KATIBU MSAIDIZI WA CCM MKOA WA IRINGA AKIWA AMEUSHIKA MWENGE WA UHURU. HA HA HAAA NAYE HAKUWA MBALI NA TUKIO HILO MUHIMU KWA MAENDELEO YA IRINGA......


 DC WA KILLOLO, MRATIBU WA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI DAUDI YASINI NA MKUU WA WILAYA YA MUFINDI, EVARISTA KALALU HAWAKUWA MBALI, WAKIFURAHIA KUMALIZIKA MKWA MBIO ZA MWENGE MKOANI IRINGA
 MATUKIO YOTE NA FRANK KIBIKI
MWENGE WA UHURU UMEMALIZA MBIO ZAKE MKOANI IRINGA NA KUANZA MKOANI NJOMBE AMBAKO MIRADI YENYE THAMANI YA SH BILIONI SITA ITAZINDULIWA.
 
UKIWA MKOANI IRINGA MWENGE HUO UMEZINDUA  MIRADI ZAIDI YA  47 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SH BILIONI TATU.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo