Mchana wa June 02 ndiyo yamefanyika mazishi ya mama mzazi wa Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida Salum ambaye alifariki jana Mei
01 Jijini Dar es salaam kisha akasafirishwa kwa ajili ya kwenda kuzikwa
Kigoma.
Mazishi yamefanyika saa 9 alasiri Huko Kigoma.