BREAKING NEWS: MSANII MKONGWE MZEE SMALL AFARIKI DUNIA



Muigizaji mkongwe nchini, Mzee Small Wangamba amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. 

Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili.

Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. Mungu  alizale  Roho  ya  Marehemu  Mahali  pema  Peponi-Amina.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo