AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014

Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .
 
Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
 Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Miss Tabata 2013
 Kumi Bora.
 Warembo wakitoa burudani
 Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika kwenye usiku wa kuamkia leo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo