skip to main |
skip to sidebar
MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AKATWA VISU KWA TUHUMA ZA KUIBA SHILINGI ELFU 10
Hii inaingia kwenye maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara
ya Hekaheka na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu
mtoto wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi elfu 10 ambayo anadai
aliibiwa na mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba.
Kwenye hii hekaheka utamsikia mtoto mwenyewe na mwalimu aliyempokea.
Bonyeza play kusikiliza.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi