skip to main |
skip to sidebar
MBONI MASIMBA YUPO HOI KWA MSIBA WA GEORGE TYSON, ASHINDWA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Mtangazaji
wa kipindi cha Mboni Talk Show EATV (Chanel 5) Bi,Mboni Masimba ambaye ndiye
aliyeandaa safari hiyo ya Dodoma alishindwa kuzungumza na waandishi wa
habari nje ya hositali ya Mkoa wa Morogoro na kuangua kilio jambo
lililomlazimu mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka kubeba jukumu la
kumbembeleza
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi