KAHABA MZEE AJITOKEZA HADHARANI NA KUELEZEA KAZI HIYO INAVYOMLIPA

Bi Vogel-Couple kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza.
 
Katika Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa saa moja kwa kazi yake.
 
Bi Vogel -Couple anasema anaamini bado anamvuto.

Miaka minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia katika ukahaba ,kutokana na anachosema ni ukiwa anaosema ndio sababu ya kumfanya ajiingize kwenye biashara hiyo.

Akiwa na uwezo wa kuwaburudisha wateja walau 10-kwa wiki , ameweza kukutana na wateja wengi kuliko unavyoweza kufikiria.Akizungumza kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana."
Bi Vogel-Couple

CHANZO: BBC SWAHILI


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo