DIAMOND PLATNUMZ ADAI WIMBO WAKE MPYA WA KITORONDO UMEVUJISHWA MTANDAONI NA MTU ASIYEMJUA

Ugonjwa wa kuvuja kwa nyimbo ambazo hazijakamilika au muda wake wa kutoka haujafika umemkuta tena mshindi wa tuzo saba za KTMA, Diamond Platnumz. 

Wimbo huo uliopewa jina la "Kitorondo" umesambaa jana katika baadhi ya blogs pamoja na mitandao ya kijamii. 

Platnumz ametoa kauli kuhusiana na wimbo huo: "Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko "store" hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisa" Tafadhari, kwa yoyote atakayeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwa sababu Haijatoka na haiko Qualified.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo