AJALI mbaya ya
basi la Sumry iliyopoteza roho za Watanzania huko mkoani Singida
mwanzoni mwa wiki hii.
Watu 19 mpaka sasa wameripotiwa kupoteza maisha
kutokana na ajali hiyo.
Ungana na mtangazaji wako Joseph Shaluwa kutoka Global TV Online, kuona hali ilivyokuwa eneo la ajali hiyo.
