skip to main |
skip to sidebar
AJALI MBAYA KOROGWE SASA HIVI LIVE!!, LORI LAPINDUKA
Ajali
imetokea muda si mrefu eneo la Mtonga Korogwe. Majeruhi 1 na wengine
wapo salama. Tuwahurumie walio pata changamoto hii, tusiwaongezee
majonzi kwa kuwaibia cement yao!
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi