AJALI: GARI LAGONGA BODABODA KISHA LENYEWE KUUVAA MTI...!

 Ajali mbaya imetokea muda mchache uliopita katika lango Kuu la kuingilia katika Mahakama ya mjini Tabora. Ajali hiyo imehusisha Gari ndogo aina ya Rav 4 yenye usajili wa namba T516 ALA ambayo ilikuwa inaendeshwa na Mama mmoja aliye tambulika kwa jina la Stumai Tambwe ambapo ameigonga Bodaboda iliyokuwa na Abiria na kuwasababishia kuumia vibaya sana, na baada ya hapo Gari hilo liligonga mti na kumsababishia kuumia vibaya.
 
Majeruhi wote wamekimbizwa Hospitali kwa ajili ya Matibabu zaidi na hali zao wote mpaka sasa ni mbaya.  SHUHUDIA PICHAZ MBALIMBALI ZA TUKIO HILO HAPA CHINI.. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo