USAFIRI WA BASI HILI...MUNGU SAIDIA...JIONEE MWENYEWE


Ni basi la abiria 60 ambalo hufanya safari zake Mwanza - Shiyanga hadi Kahama.
Ni basi aina ya Scania toleo la zama hizo enzi za Mwalimu ambalo hata hata speed meter imekufa..
Yahitaji kujipanga au kuwa na msuli ili kupiga gia...
Ili wasafiri waondoke wakiwa na mali za mjini.
Hapo sasa twangoa nanga kituo cha mabasi.
Mbele kwa mbele....
Safari safari ya hofu imeanza, jeh tutafika? PICHA NA GSENGO BLOG


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo