SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA MWANZA PASAKA KWENYE KIOTA KIPYA CHA JEMBE BEACH RESORT

DSC_0028
Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.
DSC_0031
Sam Mapenzi wa Skylight Band akishow love na wadau wa ukweli ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0041
Mdau Rama wa Villa Park ya jijini Mwanza akipata Ukodak na Hellen Kazimoto wa Jembe Beach Resort wakati wa sherehe za Pasaka.
DSC_0052
Counter ya Jembe Beach Resort ikiwa imesheheni vinywaji vya kila aina.
20140420_153642
Mandhari ya muonekano wa garden ya Jembe Beach Resort iliyopo Malimbe jijini Mwanza.
DSC_0111
Mwanamuziki wa Skylight Band Winfrida Richard akipata ukodak kwenye upepo mwanana katika fukwe za Jembe Beach Resort.
DSC_0117
Digna Mbepera wa Skylight Band katika pozi matata kabla ya kupanda jukwaani kutoa burudani.
DSC_0096
Sehemu maalum iliyoandaliwa wakati wa Pasaka ndani ya kiota cha Jembe Beach Resort iliyopo Malimbe jijini Mwanza.
DSC_0057
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Ndege ambaye pia ni mmiliki wa Jembe Beach Resort, Dkt. Sebastian Ndege(kulia) wakihamaki jambo na mdau Rama wa Villa Park (katikati) pamoja na Mkuu wa Operations wa Jembe Beach Reort Hellen Kazimoto.
DSC_0126
Hashim Donode wa Skylight Band akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza huku akisindikizwa na Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard kwenye show iliyofana katika kiota cha Jembe Beach Resory sikukuu ya Pasaka jijini Mwanza.
DSC_0128
Raia wa kigeni wakishuhudia Live Music kutoka Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.

DSC_0141
Divas wa Skylight Band Winfrida Richard na Digna Mbepera wakiwapa raha wakazi wa Mwanza kwenye stage ya aina yake ndani ya Jembe Beach Resort.

DSC_0159
Sam Mapenzi wa Skylight Band akifanya yake jukwaani wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Mwanza.
DSC_0180
Wadau wakishuhudia burudani ya Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0575
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula (mwenye miwani) akisheherekea sikukuu ya Pasaka ndani ya Jembe Beach Resort na wadau.
DSC_0201
Vijana wa Skylight Band wakishambulia jukwaa.

DSC_0548
Mzuka mwanzo mwisho.
DSC_0553

DSC_0577
Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula, akipata Ukodak na Operations Manager wa MOblog Zainul Mzige ndani ya kiota cha Jembe Beach Resort.
DSC_0750
Mashabiki wa Skylight Band jijini Mwanza.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo