skip to main |
skip to sidebar
SANDRA "USAGAJI NA USHOGA WAZUAI MASTAA WENGI KUOLEWA NA KUOA"
Msanii
Mkongwe wa Bongo Movies anayejulikana kama Sandra Amewaasa wasanii
wenzake kuachana na mambo ya Usagaji na Ushoga kwani vitendo ambavyo
vinawazuia kuingia katika ndoa na pia kupata watoto...
Amesema
Swala hilo limekuwa sugu kwa Wanawake Mastaa Kupenda kusagana wenyewe
kwa wenyewe kiasi wamenogewa pia na wavulana wanachukuana wenyewe kwa
wenyewe so hapo kuoa ni ndoto....
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi