RATIBA ZA VIKAO VYA BUNGE

Vikao vya Kamati za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (sio la Katiba) vimepangwa kuanza leo na vitaendelea hadi Mei 5, 2014 katika kumbi mbalimbali jijini Dar es salaam, kwa mujibu wa ofisi za Bunge. Kuona ratiba ya kila kamati na mahali watakofanyia vikao TAFADHALI BOFYA HAPA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo