RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO





Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi.




Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi.


Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikali.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo