JUMUIYA YA WAISLAMU YATOA TAMKO KUHUSU KAULI YA WAZIRI LUKUVI

 Waziri William Lukuvi.

Jumuiya ya maiamam Zanzibar imemtaka rais kikwete amwajibishe Lukuvi kutokana na kauli yake ya kutaka kuidhibiti zanzibar kwakuwa ni nchi yenye waislam wengi.
Katibu wa jumuia hiyo sheikh Muhidini ameyasema hayo kwenye kongamano kubwa la kiislam kuhusu mchakato wa katiba mpya.

Amesema ni aibu kwa kiongozi wa ccm na serekali kutoa maneno hayo tena mbele ya kanisa ya kwamba nia ya serekali ya CCM ni kuwadhibti waislam wa Zanzibar.

Amedai waislam na wakiristo wameishi kwa amani na utulivu kwa miaka mingi iweje atokee mtu ndani ya ccm ya kutaka kuleta mgawanyo?

Source: ZENJ FM Radio



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo