Baadhi ya miili ya wakazi wa kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi, waliogongwa na basi la Summry ikiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Singida mjini humo.
Baadhi ya ndugu wakiwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa mjini Singida,wakisubiri kuchukua miili ya ndugu zao waliogongwa na basi la Summry.
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiwa wanatafakari juu ya ndugu zao kugongwa na basi la summry la kufariki dunia usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi.
Basi la Summry lililoua watu 18
Gari la polisi likiwa limepakia maiti zaidi ya kumi zikipelekwa hospitali ya mkoa wa singida kwa ajili ya kuhifadhiwa na kutambuliwa
Moja ya maiti ya ajali ya basi la sumry iliyo tokea katika kijiji cha Utaho Wilayani Ikungi ikisubiri kupakiwa katika gari la polisi.(PICHA ZOTE: Elisante Mkumbo-Singida),





