Waombolezaji wakiwa msibani. Kushoto mwenye tisheti nyeusi ni Mratibu wa Skylight Band.
William
Malecela akijadili jambo na Mkurugenzi wa Skylight Band, Justine Ndege
ili kuweka mambo sawa kabla ya mwili wa marehemu kuwasili.
Baadhi ya waombolezaji wakibadilishana mawazo. Katikati ni mwanamuziki wa Skylight Band, Joniko Flower.
Waombolezaji
wakiendelea kubadilishana mawazo wakati wakisubili mwili wa marehemu
Kufika,Mwenye Baibui nyeusi ni mke wa Chicago Matelephone na wanamuziki
wa Skylight band
Mkurugenzi wa Skylight Band akijadili jambo na Aneth Kushaba ili kuweka mambo sawa kabla ya Mwili wa marehemu kuwasili.
Gari iliyobeba Mwili wa marehemu Chiri Challa likiwasili Nyumbani kwa marehemu
Ndugu na Jamaa wakishusha Mwili wa marehemu Chiri Challa
Mwili wa Marehemu ukishushwa kwa ajili ya ibada